DUKA MAKINI TZ

Usimamizi wa biashara na matawi

Sajili Kampuni/Duka

Ukisajili kampuni, akaunti yako inakuwa Director moja kwa moja. Director anaweza kusajili Managers na watumiaji wengine; Manager anaweza kusajili watumiaji wa chini yake.
Namba lazima ianze na +2556 au +2557. Ukiandika 06/07 au 6/7 mwanzoni, itabadilishwa kuwa +255.
Ni lazima ukubali masharti kabla ya kusajili. Kukubali kutarekodiwa pamoja na akaunti yako.