BIASHARA YAKO, USIMAMIZI RAHISI

Simamia duka lako kwa umakini zaidi.

DUKA MAKINI TZ inakusaidia kuweka mauzo, bidhaa, stock, oda, wateja, watumiaji na ripoti katika mfumo mmoja unaopatikana kwa urahisi.

Usimamizi wa stock Ripoti za biashara Desktop na simu
Nembo ya DUKA MAKINI TZ
DUKA LAKO • BIASHARA IMARA
Ufuatiliaji waMauzo
Udhibiti waStock
Muhtasari waRipoti
MFUMO MMOJAUSIMAMIZI ULIOPANGIKABIASHARA IMARA
VYOTE KATIKA SEHEMU MOJA

Vifaa vya kusimamia biashara yako

Fanya shughuli muhimu za duka lako kwa mpangilio na kwa mwonekano ulio rahisi kuelewa.

Mauzo na Receipts

Rekodi mauzo na toa risiti kwa wateja wako kwa utaratibu.

01

Bidhaa na Stock

Sajili bidhaa, ongeza stock na fuatilia bidhaa zinazokaribia kuisha.

02

Wateja na Wasambazaji

Hifadhi taarifa za wateja na wasambazaji katika sehemu moja.

03

Ripoti za biashara

Chuja taarifa za mauzo na uangalie mwenendo wa shughuli zako.

04

Matawi na Watumiaji

Simamia access za watumiaji na matawi kulingana na majukumu yao.

05

Udhibiti na Usalama

Majukumu, approvals na shughuli za akaunti husimamiwa kulingana na ruhusa.

06
KUANZA NI RAHISI

Jenga utaratibu mzuri wa duka lako.

Fungua akaunti ya kampuni, sajili bidhaa zako na anza kutumia sehemu zinazohitajika katika shughuli za kila siku.

Sajili kampuni sasa
1

Sajili kampuni

Jaza taarifa za msingi za kampuni yako.

2

Weka bidhaa

Ongeza bidhaa na taarifa za stock ya mwanzo.

3

Anza kusimamia

Tumia mauzo, oda na ripoti za shughuli zako.

TUKO KARIBU NAWE

Una swali au unahitaji msaada?

Wasiliana nasi kwa simu, WhatsApp au jiunge na kundi letu la WhatsApp.

Call +255743908444 WhatsApp +255743908444 Jiunge na group WhatsApp community